Micah 7:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usifurahie maafa yangu ewe adui yangu! Nikianguka, nitainuka tena; Nikiwa gizani, Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usifurahie msiba wangu, ee adui yangu! Ingawa nimeanguka, nitainuka. Japo ninaketi gizani, Mwenyezi Mungu atakuwa nuru yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, Bwana atakuwa nuru kwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usifurahie maafa yangu ewe adui yangu! Nikianguka, nitainuka tena; Nikiwa gizani, Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usifurahie msiba wangu, Ee adui yangu! Ingawa nimeanguka, nitainuka. Japo ninaketi gizani, BWANA atakuwa nuru yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usifurahie msiba wangu, ee adui yangu! Ingawa nimeanguka, nitainuka. Japo ninaketi gizani, bwana atakuwa nuru yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, BWANA atakuwa nuru kwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usifurahie maafa yangu ewe adui yangu! Nikianguka, nitainuka tena; Nikiwa gizani, Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usinifurahie, uliye adui yangu! Kama ningeanguka, nitainuka tena. Kama ninakaa gizani, Bwana ni mwanga wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, BWANA atakuwa nuru kwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usifurahie hali yangu ewe adui yangu! Nikianguka, nitasimama tena; nikiwa katika giza, Yawe ni mwangaza wangu.