Nahum 1:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watateketezwa kama kichaka cha miiba, kama vile nyasi zilizokauka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watasongwa katikati ya miiba na kulewa kwa mvinyo wao. Watateketezwa kama mabua makavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana wangawa kama miiba iliyotatana, na kunyweshwa kana kwamba ni katika kunywa kwao, wataliwa kabisa kama mabua makavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watateketezwa kama kichaka cha miiba, kama vile nyasi zilizokauka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watasongwa katikati ya miiba na kulewa kwa mvinyo wao. Watateketezwa kama mabua makavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watasongwa katikati ya miiba na kulewa kwa mvinyo wao. Watateketezwa kama mabua makavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana kama miiba wametatana, kama walevi wamelewa, watateketezwa kama mabua makavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watateketezwa kama kichaka cha miiba, kama vile nyasi zilizokauka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ingawa washikamane kama miiba iliyosukwa, au ingawa waloe kwa mvinyo, wawe majimaji kama mvinyo zao, wote pia wataliwa na moto kama majani makavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana wangawa kama miiba iliyotatana, na kunyweshwa kana kwamba ni katika kunywa kwao, wataliwa kabisa kama mabua makavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watateketezwa kama kichaka cha miiba, wao wanaoikalia kulewa. Watateketezwa kama vile majani yenye kukauka.