Nahum 1:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwako kumetoka aliyepanga maovu dhidi ya Mwenyezi-Mungu aliyefanya njama za ulaghai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Ninawi, kutoka kwako amejitokeza mmoja, ambaye anapanga njama dhidi ya Mwenyezi Mungu na kushauri uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ametoka mmoja kwako, aniaye mabaya juu ya Bwana, atoaye mashauri yasiyofaa kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwako kumetoka aliyepanga maovu dhidi ya Mwenyezi-Mungu aliyefanya njama za ulaghai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Ninawi, kutoka kwako amejitokeza mmoja, ambaye anapanga shauri baya dhidi ya BWANA na kushauri uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Ninawi, kutoka kwako amejitokeza mmoja, ambaye anapanga shauri baya dhidi ya bwana na kushauri uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ametoka mmoja kwako, akusudiaye mabaya juu ya BWANA, atoaye mashauri yasiyofaa kitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwako kumetoka aliyepanga maovu dhidi ya Mwenyezi-Mungu aliyefanya njama za ulaghai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwako wewe ametoka awazaye mabaya ya kumpinga Bwana kwa mashauri maovu, aliyoyatoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ametoka mmoja kwako, aniaye mabaya juu ya BWANA, atoaye mashauri yasiyofaa kitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndani yako kumetoka mumoja aliyepanga maovu juu ya Yawe. Huyu mutu anafanya shauri baya sana.