Nahum 1:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa nitaivunja nira ya Ashuru shingoni mwenu, na minyororo waliyowafungia nitaikatakata.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa nitavunja nira zao kutoka shingo yako, nami nitazivunjilia mbali pingu zako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa nitakuvunjia nira yake, nami nitakupasulia mafungo yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa nitaivunja nira ya Ashuru shingoni mwenu, na minyororo waliyowafungia nitaikatakata.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa nitavunja nira zao kutoka katika shingo yako, nami nitazivunjilia mbali pingu zako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa nitavunja nira zao kutoka shingo yako, nami nitazivunjilia mbali pingu zako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa nitakuvunjia nira yake, nami nitayakata mafungo yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa nitaivunja nira ya Ashuru shingoni mwenu, na minyororo waliyowafungia nitaikatakata.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nitayavunja makongwa yao, yakuondokee, nayo mafungo uliyofungwa nitayararua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa nitakuvunjia nira yake, nami nitakupasulia mafungo yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa nitaivunja nira ya Asuria katika shingo lenu, na minyororo waliyowafungia nitaikatakata.