Nahum 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Milima hutetemeka mbele yake, navyo vilima huyeyuka; dunia hutetemeka mbele yake, ulimwengu na vyote vilivyomo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Milima hutikisika mbele yake na vilima huyeyuka. Nchi hutetemeka mbele yake, dunia na wote wanaoishi ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Milima hutetema mbele zake, navyo vilima huyeyuka; nayo dunia huinuliwa mbele za uso wake, naam, dunia na wote wakaao ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Milima hutetemeka mbele yake, navyo vilima huyeyuka; dunia hutetemeka mbele yake, ulimwengu na vyote vilivyomo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Milima hutikisika mbele yake na vilima huyeyuka. Nchi hutetemeka mbele yake, dunia na wote waishio ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Milima hutikisika mbele yake na vilima huyeyuka. Nchi hutetemeka mbele yake, dunia na wote waishio ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Milima hutetema mbele zake, navyo vilima huyeyuka; nayo dunia huinuliwa mbele za uso wake, naam, dunia na wote wakaao ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Milima hutetemeka mbele yake, navyo vilima huyeyuka; dunia hutetemeka mbele yake, ulimwengu na vyote vilivyomo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milima hutetemeka mbele yake, navyo vilima hutikisika; nayo nchi huinukia usoni pake pamoja na ulimwengu nao wote wakaamo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Milima hutetema mbele zake, navyo vilima huyeyuka; nayo dunia huinuliwa mbele za uso wake, naam, dunia na wote wakaao ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Milima inatetemeka mbele yake, vilima vinayeyuka. Dunia inatetemeka mbele yake, ulimwengu na vyote vinavyokuwa ndani yake.