Nahum 1:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani awezaye kuikabili ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu? Nani awezaye kustahimili ukali wa hasira yake? Yeye huimwaga hasira yake iwakayo kama moto, hata miamba huipasua vipandevipande.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani awezaye kuzuia hasira yake yenye uchungu? Nani awezaye kuvumilia hasira yake kali? Ghadhabu yake imemiminwa kama moto, na miamba inapasuka mbele zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani awezaye kusimama mbele za ghadhabu yake, naye ni nani awezaye kukaa katika ukali wa hasira yake? Hasira yake kali humwagwa kama moto, nayo majabali yapasuliwa na yeye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani awezaye kuikabili ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu? Nani awezaye kustahimili ukali wa hasira yake? Yeye huimwaga hasira yake iwakayo kama moto, hata miamba huipasua vipandevipande.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani awezaye kuzuia hasira yake yenye uchungu? Nani awezaye kuvumilia hasira yake kali? Ghadhabu yake imemiminwa kama moto, na miamba inapasuka mbele zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani awezaye kuzuia hasira yake yenye uchungu? Nani awezaye kuvumilia hasira yake kali? Ghadhabu yake imemiminwa kama moto, na miamba inapasuka mbele zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani awezaye kusimama mbele za ghadhabu yake, naye ni nani awezaye kukaa katika ukali wa hasira yake? Hasira yake kali humwagwa kama moto, nayo majabali yapasuliwa na yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani awezaye kuikabili ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu? Nani awezaye kustahimili ukali wa hasira yake? Yeye huimwaga hasira yake iwakayo kama moto, hata miamba huipasua vipandevipande.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani awezaye kusimama, akimkasirikia? Au yuko nani awezaye kukaa katika makali yake yenye moto? Hasira yake ichomayo humwagika kama moto wenyewe, nayo miamba hupasuliwa nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani awezaye kusimama mbele za ghadhabu yake, naye ni nani awezaye kukaa katika ukali wa hasira yake? Hasira yake kali humwagwa kama moto, nayo majabali yapasuliwa na yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayeweza kusimama mbele ya kasirani ya Yawe? Nani anayeweza kuvumilia ukali wa hasira yake? Yeye anaimwanga hasira yake inayowaka kama moto, hata mawe makubwa anayapasua vipandevipande.