Nahum 1:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mwema, yeye ni ngome ya usalama wakati wa taabu. Yeye huwalinda wote wanaokimbilia usalama kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni Mwema, kimbilio wakati wa taabu. Huwatunza wale wanaomtegemea,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ni mwema, ni ngome siku ya taabu; naye huwajua hao wamkimbiliao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mwema, yeye ni ngome ya usalama wakati wa taabu. Yeye huwalinda wote wanaokimbilia usalama kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni Mwema, kimbilio wakati wa taabu. Huwatunza wale wanaomtegemea,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni Mwema, kimbilio wakati wa taabu. Huwatunza wale wanaomtegemea,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni mwema, ni ngome siku ya taabu; naye huwajua hao wamkimbiliao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mwema, yeye ni ngome ya usalama wakati wa taabu. Yeye huwalinda wote wanaokimbilia usalama kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mwema, ni ngome siku ya masongano, huwajua wamkimbiliao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ni mwema, ni ngome siku ya taabu; naye huwajua hao wamkimbiliao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni muzuri, yeye ni kimbilio la usalama wakati wa taabu. Yeye anawalinda wote wanaokimbilia usalama kwake.