Nahum 1:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adui wakiivamia nchi kama mafuriko, yeye huwaangamiza; huwafuatia na kuwafukuza mpaka gizani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini kwa mafuriko makubwa, ataangamiza Ninawi; atafuatilia adui zake hadi gizani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kwa gharika ifurikayo atapakomesha kabisa mahali pake, na kuwafuatia adui zake hata gizani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adui wakiivamia nchi kama mafuriko, yeye huwaangamiza; huwafuatia na kuwafukuza mpaka gizani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini kwa mafuriko makubwa, ataangamiza Ninawi; atafuatilia adui zake hadi gizani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini kwa mafuriko makubwa, ataangamiza Ninawi; atafuatilia adui zake hadi gizani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kwa gharika ifurikayo atapakomesha kabisa mahali pake, na kuwafuatia adui zake hata gizani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adui wakiivamia nchi kama mafuriko, yeye huwaangamiza; huwafuatia na kuwafukuza mpaka gizani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwa mafuriko ya maji yatosayo atapamaliza mahali pao wengine, nao wachukivu wake atawakimbiza gizani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kwa gharika ifurikayo atapakomesha kabisa mahali pake, na kuwafuatia adui zake hata gizani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui wakishambulia inchi kama mafuriko, yeye anawaangamiza; anawafuatilia na kuwafukuza mpaka katika giza.