Nahum 1:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona mnafanya mipango dhidi ya Mwenyezi-Mungu? Yeye atawakomesha na kuwaangamiza, wala mpinzani wake hataweza kuinuka tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila njama wanayopanga dhidi ya Mwenyezi Mungu yeye atalikomesha; taabu haitatokea mara ya pili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona mnafanya mipango dhidi ya Mwenyezi-Mungu? Yeye atawakomesha na kuwaangamiza, wala mpinzani wake hataweza kuinuka tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shauri baya lo lote wapangalo dhidi ya BWANA yeye atalikomesha; taabu haitatokea mara ya pili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shauri baya lolote wapangalo dhidi ya bwana yeye atalikomesha; taabu haitatokea mara ya pili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mnawaza nini juu ya BWANA? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona mnafanya mipango dhidi ya Mwenyezi-Mungu? Yeye atawakomesha na kuwaangamiza, wala mpinzani wake hataweza kuinuka tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwawaziaje kumpingia Bwana? Yeye ndiye atakayewamaliza, masongano yasitokee mara ya pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mnawaza nini juu ya BWANA? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona munafanya mipango juu ya Yawe? Yeye atawakomesha na kuwaangamiza, wala mupinzani wake hataweza kusimama tena.