Nahum 2:14 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana Mwenye vikosi: Utaniona, nikikujia, niyachome magari yako, yawe moshi, nao wana wako wa simba upanga utawala; nitakukomesha, usirarue tena nyama katika nchi, wala sauti za wajumbe wako zisisikilike tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi Yawe wa majeshi nitakushambulia: nitayateketeza kwa moto magari yako ya vita, nitawamaliza kwa upanga hao simba wako wakali, vitu ulivyonyanganya nitavikomesha kutoka katika inchi, na sauti ya wajumbe wako haitasikilika tena.