Nahum 2:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Magari ya farasi yanatimua mbio barabarani, yanakwenda huko na huko uwanjani. Yanamulika kama miali ya moto! Yanakwenda kasi kama umeme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Magari ya vita yanafanya msukosuko barabarani, yakikimbia nyuma na mbele uwanjani. Yanaonekana kama mienge ya moto; yanaenda kasi kama umeme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Magari ya vita yanafanya mshindo njiani, Yanasongana-songana katika njia kuu; Kuonekana kwake ni kama mienge, Yanakwenda upesi kama umeme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Magari ya farasi yanatimua mbio barabarani, yanakwenda huko na huko uwanjani. Yanamulika kama miali ya moto! Yanakwenda kasi kama umeme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Magari ya vita yanafanya msukosuko barabarani, yakikimbia nyuma na mbele uwanjani. Yanaonekana kama mienge ya moto; yanakwenda kasi kama umeme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Magari ya vita yanafanya msukosuko barabarani, yakikimbia nyuma na mbele uwanjani. Yanaonekana kama mienge ya moto; yanakwenda kasi kama umeme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Magari ya vita yanafanya vishindo njiani, Yanasonganasongana katika njia kuu; Kuonekana kwake ni kama mienge, Yanakwenda upesi kama umeme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Magari ya farasi yanatimua mbio barabarani, yanakwenda huko na huko uwanjani. Yanamulika kama miali ya moto! Yanakwenda kasi kama umeme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ngao za mafundi wake wa vita ni nyekundu, watu wake wenye nguvu wanavaa nguo nyekundu za kifalme, siku, yanapopangwa, vyuma vya magari yake humetuka kama moto, nayo mikuki yake hutikiswatikiswa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Magari ya vita yanafanya mshindo njiani, Yanasongana-songana katika njia kuu; Kuonekana kwake ni kama mienge, Yanakwenda upesi kama umeme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngao za mashujaa wake ni nyekundu, waaskari wake wamevaa nguo nyekundu sana. Magari yao ya vita yanametameta kama ndimi za moto, yamepangwa tayari kwa kushambulia; farasi hawatulii kwa hamu ya kushambulia.