Nahum 2:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa anawaita maofisa wake, nao wanajikwaa wanapomwendea; wanakwenda ukutani himahima kutayarisha kizuizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anaita vikosi vilivyochaguliwa, lakini bado wanajikwaa njiani. Wanakimbilia haraka kwenye ukuta wa mji, ile ngao ya kuwakinga imetayarishwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Awakumbuka watu wake wenye heshima; Wanajikwaa katika mwendo wao; Wanafanya haraka waende ukutani; Nacho kitu cha kuwafunika kimewekwa tayari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa anawaita maofisa wake, nao wanajikwaa wanapomwendea; wanakwenda ukutani himahima kutayarisha kizuizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anaita vikosi vilivyochaguliwa, lakini bado wanajikwaa njiani. Wanakimbilia haraka kwenye ukuta wa mji, ile ngao ya kuwakinga imetayarishwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anaita vikosi vilivyochaguliwa, lakini bado wanajikwaa njiani. Wanakimbilia haraka kwenye ukuta wa mji, ile ngao ya kuwakinga imetayarishwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Awakumbuka watu wake wenye heshima; Wanajikwaa katika mwendo wao; Wanafanya haraka waende ukutani; Nacho kitu cha kuwafunika kimetayarishwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa anawaita maofisa wake, nao wanajikwaa wanapomwendea; wanakwenda ukutani himahima kutayarisha kizuizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Barabarani magari yanapiga vishindo vya nguvu, namo uwanjani yanashindana mbio; mkiyatazama huwa kama mienge ya moto, tena hurukaruka upesi kama umeme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Awakumbuka watu wake wenye heshima; Wanajikwaa katika mwendo wao; Wanafanya haraka waende ukutani; Nacho kitu cha kuwafunika kimewekwa tayari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Magari ya vita yanakimbia mbio katika barabara, yanakwenda huko na huko katika uwanja. Yanametameta kama ndimi za moto! Yanakwenda mbio kama umeme.