Nahum 2:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vizuizi vya mito vimefunguliwa, ikulu imejaa hofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malango ya mto yamefunguliwa wazi, na jumba la kifalme limeanguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malango ya mito yamefunguka, na jumba la mfalme limeyeyushwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vizuizi vya mito vimefunguliwa, ikulu imejaa hofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malango ya mto yamefunguliwa wazi, na jumba la kifalme limeanguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malango ya mto yamefunguliwa wazi, na jumba la kifalme limeanguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malango ya mito yamefunguka, na jumba la mfalme limeyeyushwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vizuizi vya mito vimefunguliwa, ikulu imejaa hofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, anawakumbuka wakuu wake, lakini wanakuja na kujikwaakwaa; walipokwenda mbiombio kuufikia ukuta wa boma la nje, kikingio cha kuubomolea kilikuwa kimekwisha kuwekwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malango ya mito yamefunguka, na jumba la mfalme limeyeyushwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa anawaita wakubwa wake, nao wanajikwaa wanapomwendea; wanakwenda kwenye ukuta kwa haraka kutayarisha ukingo.