Nahum 2:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji uko wazi kabisa, watu wamechukuliwa mateka. Wanawake wake wanaomboleza, wanalia kama njiwa, na kujipigapiga vifuani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Imeagizwa kwamba mji uchukuliwe na upelekwe uhamishoni. Vijakazi wake wanaomboleza kama hua na kupigapiga vifua vyao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Husabu naye amefunuliwa, anachukuliwa, na wajakazi wake wanalia kama kwa sauti ya hua, wakipiga-piga vifua vyao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji uko wazi kabisa, watu wamechukuliwa mateka. Wanawake wake wanaomboleza, wanalia kama njiwa, na kujipigapiga vifuani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Imeagizwa kwamba mji uchukuliwe na upelekwe uhamishoni. Vijakazi wake wanaomboleza kama hua na kupigapiga vifua vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Imeagizwa kwamba mji uchukuliwe na upelekwe uhamishoni. Vijakazi wake wanaomboleza kama hua na kupigapiga vifua vyao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Husabu naye amefunuliwa, anachukuliwa, na wajakazi wake wanalia kama kwa sauti ya hua, wakipigapiga vifua vyao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji uko wazi kabisa, watu wamechukuliwa mateka. Wanawake wake wanaomboleza, wanalia kama njiwa, na kujipigapiga vifuani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malango ya upande wa mtoni yalipofunguliwa, waliomo jumbani mwa mfalme wakayeyuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Husabu naye amefunuliwa, anachukuliwa, na wajakazi wake wanalia kama kwa sauti ya hua, wakipiga-piga vifua vyao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vikingio vya mito vimefunguliwa, nyumba ya kifalme imejaa hofu.