Nahum 3:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninewi, nawe pia utalewa; utamkimbia adui na kujaribu kujificha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe pia utalewa; utaenda mafichoni na kutafuta kimbilio kutoka kwa adui.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena utalewa, utafichwa; tena utatafuta ngome kwa sababu ya adui.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninewi, nawe pia utalewa; utamkimbia adui na kujaribu kujificha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe pia utalewa; utakwenda mafichoni na kutafuta kimbilio kutoka kwa adui.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe pia utalewa; utakwenda mafichoni na kutafuta kimbilio kutoka kwa adui.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena utalewa, utafichwa; tena utatafuta ngome kwa sababu ya adui.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninewi, nawe pia utalewa; utamkimbia adui na kujaribu kujificha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe nawe na uleweshwe, uwe kama mtu azimiaye roho, wewe nawe na ujitafutie ngome ya kukimbilia adui.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena utalewa, utafichwa; tena utatafuta ngome kwa sababu ya adui.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawe, nawe vilevile utalewa; utamukimbia adui na kujaribu kujificha.