Nahum 3:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama askari wako: Wao ni waoga kama wanawake. Milango ya nchi yako ni wazi mbele ya adui zako; moto umeyateketeza kabisa makomeo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama vikosi vyako: wote ni wanawake! Malango ya nchi yako yamekuwa wazi kwa adui zako; moto umeteketeza mapingo yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, watu wako walio ndani yako ni wanawake; malango ya nchi yako yamekuwa wazi kabisa mbele ya adui zako; moto umeteketeza mapingo yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama askari wako: wao ni waoga kama wanawake. Milango ya nchi yako ni wazi mbele ya adui zako; moto umeyateketeza kabisa makomeo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama vikosi vyako: wote ni wanawake! Malango ya nchi yako yamekuwa wazi kwa adui zako; moto umeteketeza mapingo yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama vikosi vyako: wote ni wanawake! Malango ya nchi yako yamekuwa wazi kwa adui zako; moto umeteketeza mapingo yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, watu wako walio ndani yako ni wanawake; malango ya nchi yako yamekuwa wazi kabisa mbele ya adui zako; moto umeteketeza mapingo yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama askari wako: Wao ni waoga kama wanawake. Milango ya nchi yako ni wazi mbele ya adui zako; moto umeyateketeza kabisa makomeo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waume wako, ulio nao mwako, utawaona kuwa kama wanawake, nayo malango ya nchi yako yatakuwa yamefunguka, yawe wazi mbele ya adui zako, nao moto utayala makomeo yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, watu wako walio ndani yako ni wanawake; malango ya nchi yako yamekuwa wazi kabisa mbele ya adui zako; moto umeteketeza mapingo yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia, waaskari wako ni wanawake tu. Milango ya inchi yako ni wazi mbele ya waadui zako; moto umeteketeza kabisa vifungio vyake.