Nahum 3:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini huko pia moto utawateketezeni, upanga utawakatilia mbali; utawamaliza kama nzige walavyo. Ongezekeni kama nzige, naam, ongezekeni kama panzi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko moto utakuteketeza, huko upanga utakuangusha chini na kama vile panzi, watakumaliza. Ongezeka kama panzi, ongezeka kama nzige!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huko moto utakuteketeza; Upanga utakukatilia mbali; Utakumeza kama tunutu alavyo; Jifanye kuwa wengi kama tunutu! Jifanye kuwa wengi kama nzige!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini huko pia moto utawateketezeni, upanga utawakatilia mbali; utawamaliza kama nzige walavyo. Ongezekeni kama nzige, naam, ongezekeni kama panzi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko moto utakuteketeza, huko upanga utakuangusha chini na kama vile panzi, watakumaliza. Ongezeka kama panzi, ongezeka kama nzige!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko moto utakuteketeza, huko upanga utakuangusha chini na kama vile panzi, watakumaliza. Ongezeka kama panzi, ongezeka kama nzige!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huko moto utakuteketeza; Upanga utakukatilia mbali; Utakumeza kama tunutu alavyo; Jifanye kuwa wengi kama tunutu! Jifanye kuwa wengi kama nzige!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini huko pia moto utawateketezeni, upanga utawakatilia mbali; utawamaliza kama nzige walavyo. Ongezekeni kama nzige, naam, ongezekeni kama panzi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini patakapotimia, moto utakula, nazo panga zitakuangamiza zikikula kama funutu, ingawa mwe wengi kama funutu, ingawa mwe wengi kama nzige.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huko moto utakuteketeza; Upanga utakukatilia mbali; Utakumeza kama tunutu alavyo; Jifanye kuwa wengi kama tunutu! Jifanye kuwa wengi kama nzige!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kule vilevile moto utawateketeza, upanga utawamaliza kabisa; utawamaliza kama nzige wanavyokula. Muongezeke kama nzige, mwongezeke kama mapanzi!