Nahum 3:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wamelala, waheshimiwa wako wamesinzia. Watu wako wametawanyika milimani, wala hakuna yeyote wa kuwakusanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wanasinzia; wakuu wako wanalala chini mavumbini kupumzika. Watu wako wametawanyika juu ya milima bila kuwa na mtu yeyote wa kuwakusanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wachungaji wako wanalala usingizi, Ee mfalme wa Ashuru; watu wako wenye heshima wamepumzika; watu wako wametawanyika juu ya milima, wala hapana mtu wa kuwakusanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wamelala, waheshimiwa wako wamesinzia. Watu wako wametawanyika milimani, wala hakuna yeyote wa kuwakusanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee mfalme wa Ashuru, wachungajia wako wanasinzia; wakuu wako wanalala chini mavumbini kupumzika. Watu wako wametawanyika juu ya milima bila kuwa na mtu ye yote wa kuwakusanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wanasinzia; wakuu wako wanalala chini mavumbini kupumzika. Watu wako wametawanyika juu ya milima bila kuwa na mtu yeyote wa kuwakusanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wachungaji wako wanalala usingizi, Ee mfalme wa Ashuru; watu wako wenye heshima wamepumzika; watu wako wametawanyika juu ya milima, wala hapana mtu wa kuwakusanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wamelala, waheshimiwa wako wamesinzia. Watu wako wametawanyika milimani, wala hakuna yeyote wa kuwakusanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wachungaji wako, mfalme wa Asuri, wamelala, watukufu wako wamelala usingizi. Watu wako wametawanyika milimani juu, tena hakuna anayewakusanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wachungaji wako wanalala usingizi, Ee mfalme wa Ashuru; watu wako wenye heshima wamepumzika; watu wako wametawanyika juu ya milima, wala hapana mtu wa kuwakusanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe mufalme wa Asuria, wachungaji wako wamelala, waheshimiwa wako wamesinzia. Watu wako wametawanyika kwenye milima, wala hakuna yeyote wa kuwakusanya.