Nahum 3:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikia! Mlio wa mjeledi, mrindimo wa magurudumu, vishindo vya farasi na ngurumo za magari!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kelele za mijeledi, vishindo vya magurudumu, farasi wanaoenda mbio na mshtuo wa magari ya vita!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kelele za mjeledi, kelele za magurudumu yafanyayo kishindo; na farasi wenye kupara-para, na magari ya vita yenye kuruka-ruka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikia! Mlio wa mjeledi, mrindimo wa magurudumu, vishindo vya farasi na ngurumo za magari!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kelele za mijeledi, vishindo vya magurudumu, farasi waendao mbio na mshtuo wa magari ya vita!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kelele za mijeledi, vishindo vya magurudumu, farasi waendao mbio na mshtuo wa magari ya vita!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kelele za mjeledi, kelele za magurudumu yafanyayo kishindo; na farasi wenye kuparapara, na magari ya vita yenye kurukaruka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikia! Mlio wa mjeledi, mrindimo wa magurudumu, vishindo vya farasi na ngurumo za magari!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na wasikie uvumi wa mijeledi na vishindo vya magurudumu yatutumuayo na vya farasi wapigao mbio na vya magari yarukayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kelele za mjeledi, kelele za magurudumu yafanyayo kishindo; na farasi wenye kupara-para, na magari ya vita yenye kuruka-ruka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikia! Mulio wa fimbo, mashindo ya magurudumu, vishindo vya farasi na ngurumo za magari ya vita!