Nahum 3:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninewi! Wewe umekuwa kama malaya. Umewashawishi watu, ewe binti wa uchawi, uliyeyafanya mataifa kuwa watumwa kwa umalaya wako, na watu wa mataifa kwa uchawi wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
haya yote kwa sababu ya wingi wa tamaa za kahaba, anayeshawishi, bibi mkuu wa mambo ya uchawi, anayewatia utumwani mataifa kwa ukahaba wake na pia jamaa za watu kwa ulozi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu ya wingi wa ukahaba wa yule kahaba mzuri, yule bibi wa mambo ya uchawi, auzaye mataifa kwa ukahaba wake, na jamaa za watu kwa uchawi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninewi! Wewe umekuwa kama malaya. Umewashawishi watu, ewe binti wa uchawi, uliyeyafanya mataifa kuwa watumwa kwa umalaya wako, na watu wa mataifa kwa uchawi wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yote haya kwa sababu ya wingi wa tamaa za kahaba, anayeshawishi, bibi wa mambo ya uchawi, anayewatia utumwani mataifa kwa ukahaba wake na pia jamaa za watu kwa ulozi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yote haya kwa sababu ya wingi wa tamaa za kahaba, anayeshawishi, bibi wa mambo ya uchawi, anayewatia utumwani mataifa kwa ukahaba wake na pia jamaa za watu kwa ulozi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu ya wingi wa ukahaba wa yule kahaba mzuri, yule bibi wa mambo ya uchawi, auzaye mataifa kwa ukahaba wake, na jamaa za watu kwa uchawi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninewi! Wewe umekuwa kama malaya. Umewashawishi watu, ewe binti wa uchawi, uliyeyafanya mataifa kuwa watumwa kwa umalaya wako, na watu wa mataifa kwa uchawi wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo ndiyo malipo ya uzinzi mwingi wa huyo mzinzi mke aliye mzuri wa kupendeza, aliyenasa kwa uganga wake, aliyeteka makabila mazima kwa uzinzi wake na milango ya watu kwa uganga wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu ya wingi wa ukahaba wa yule kahaba mzuri, yule bibi wa mambo ya uchawi, auzaye mataifa kwa ukahaba wake, na jamaa za watu kwa uchawi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawe! Wewe umekuwa kama kahaba. Umewashawishi watu, ewe binti wa uchawi, uliyeyafanya mataifa kuwa watumwa kwa ukahaba wako, na watu wa mataifa kwa uchawi wako.