Nahum 3:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wote watakaokuona watakukimbia wakisema, “Ninewi umeangamizwa, ni nani atakayeuombolezea? Nani atakayekufariji?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wanaokuona watakukimbia na kusema, ‘Ninawi inaangamia, nani atakayeomboleza kwa ajili yake?’ Nitampata wapi yeyote wa kukufariji?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata itakuwa, wote wakutazamao watakukimbia, wakisema, Ninawi umeharibika; ni nani atakayeuhurumia? Nikutafutie wapi wafariji?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wote watakaokuona watakukimbia wakisema, “Ninewi umeangamizwa, ni nani atakayeuombolezea? Nani atakayekufariji?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wanaokuona watakukimbia na kusema, ‘Ninawi ipo katika kuangamia: ni nani atakayeomboleza kwa ajili yake?’ Nitampata wapi ye yote wa kukufariji?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wanaokuona watakukimbia na kusema, ‘Ninawi ipo katika kuangamia: ni nani atakayeomboleza kwa ajili yake?’ Nitampata wapi yeyote wa kukufariji?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata itakuwa, wote wakutazamao watakukimbia, wakisema, Ninawi umeharibika; ni nani atakayeuhurumia? Nikutafutie wapi wafariji?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wote watakaokuona watakukimbia wakisema, “Ninewi umeangamizwa, ni nani atakayeuombolezea? Nani atakayekufariji?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, kila atakayekuona atapokukimbia na kusema: Kumbe Niniwe umebomolewa! Yuko nani atakayeombolezea? Nitatafuta wapi watakaokutuliza moyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata itakuwa, wote wakutazamao watakukimbia, wakisema, Ninawi umeharibika; ni nani atakayeuhurumia? Nikutafutie wapi wafariji?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wote watakaokuona watakukimbia wakisema: Ninawe umeangamizwa, ni nani atakayekuomboleza? Nani atakayekufariji?