Nahum 3:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, wewe Ninewi, ni bora kuliko Thebesi, mji uliojengwa kando ya mto Nili? Thebesi ulizungukwa na maji, bahari ilikuwa boma lake, maji yalikuwa ukuta wake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wewe ni bora kuliko No-Amoni, uliopo katika Mto Naili, uliozungukwa na maji? Mto ulikuwa kinga yake, nayo maji yalikuwa ukuta wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wewe u mwema kuliko No-amoni, uliowekwa kati ya mito, uliozungukwa na maji; ambao boma lake lilikuwa bahari, na bahari ilikuwa ukuta wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, wewe Ninewi, ni bora kuliko Thebesi, mji uliojengwa kando ya mto Nili? Thebesi ulizungukwa na maji, bahari ilikuwa boma lake, maji yalikuwa ukuta wake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wewe ni bora kuliko No-Amoni, uliopo katika Mto Nile, uliozungukwa na maji? Mto ulikuwa kinga yake, nayo maji yalikuwa ukuta wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wewe ni bora kuliko No-Amoni, uliopo katika Mto Naili, uliozungukwa na maji? Mto ulikuwa kinga yake, nayo maji yalikuwa ukuta wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wewe u mwema kuliko No-amoni, uliowekwa kati ya mito, uliozungukwa na maji; ambao boma lake lilikuwa bahari, na bahari ilikuwa ukuta wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, wewe Ninewi, ni bora kuliko Thebesi, mji uliojengwa kando ya mto Nili? Thebesi ulizungukwa na maji, bahari ilikuwa boma lake, maji yalikuwa ukuta wake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? U mwema kuliko No wa Amoni uliokaa majitoni huko Misri, uliozungukwa na maji? Boma lake ulikuwa wingi wa maji, nao ukuta wa nje wa boma ulikuwa wingi wa maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wewe u mwema kuliko No-amoni, uliowekwa kati ya mito, uliozungukwa na maji; ambao boma lake lilikuwa bahari, na bahari ilikuwa ukuta wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe Ninawe, ni bora kuliko Tebe, muji uliojengwa pembeni ya muto Nili? Tebe ulizungukwa na maji, bahari ilikuwa kikingio chake, maji yalikuwa ukuta wake!