Nahum 3:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kushi ilikuwa nguvu yake; nayo Misri pia, tena bila kikomo; watu wa Puti na Libia waliusaidia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kushi na Misri walikuwa nguvu zake zisizo na mpaka; Putu na Libia walikuwa miongoni mwa wale walioungana naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kushi na Misri walikuwa nguvu zake, nazo zilikuwa hazina mpaka; Putu na Walibia walikuwa wasaidizi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kushi ilikuwa nguvu yake; nayo Misri pia, tena bila kikomo; watu wa Puti na Libia waliusaidia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kushi na Misri walikuwa nguvu zake zisizo na mpaka; Putu na Libya walikuwa miongoni mwa wale walioungana naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kushi na Misri walikuwa nguvu zake zisizo na mpaka; Putu na Libia walikuwa miongoni mwa wale walioungana naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kushi na Misri walikuwa nguvu zake, nazo zilikuwa hazina mpaka; Puti na Walibya walikuwa wasaidizi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kushi ilikuwa nguvu yake; nayo Misri pia, tena bila kikomo; watu wa Puti na Libia waliusaidia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulipata nguvu kule kwa Wanubi nako kwa Wamisri wasiohesabika, Waputi na Walubi walikuwa tayari kuusaidia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kushi na Misri walikuwa nguvu zake, nazo zilikuwa hazina mpaka; Putu na Walibia walikuwa wasaidizi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi ya Kushi ilikuwa nguvu yake; nayo Misri vilevile, tena bila mwisho, watu wa Puti na Libya waliusaidia.