Nehemiah 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nikisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbinguni, wewe u Mungu aliye mkuu na wa kutisha, unalishika agano lako na unawafadhili wale wakupendao na kuzishika amri zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nikasema: “Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wa mbinguni, mkuu na mwenye kuogofya, ambaye hulishika agano lake la upendo na wale wanaompenda na kutii amri zake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nikasema, Nakusihi, Ee Bwana, Mungu wa mbinguni, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, mwenye kutimiza agano lake na rehema zake kwa hao wampendao na kuzishika amri zake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nikisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbinguni, wewe u Mungu aliye mkuu na wa kutisha, unalishika agano lako na unawafadhili wale wakupendao na kuzishika amri zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nikasema: “Ee BWANA, Mungu wa mbinguni, mkuu na mwenye kuogofya, ambaye hulishika Agano lake la upendo na wale wampendao na kutii amri zake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nikasema: “Ee bwana, Mungu wa mbinguni, mkuu na mwenye kuogofya, ambaye hulishika agano lake la upendo na wale wampendao na kutii amri zake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nikasema, Nakusihi, Ee BWANA, Mungu wa mbinguni, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, mwenye kutimiza agano lake na rehema zake kwa hao wampendao na kuzishika amri zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nikisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbinguni, wewe u Mungu aliye mkuu na wa kutisha, unalishika agano lako na unawafadhili wale wakupendao na kuzishika amri zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nikasema: E. Bwana Mungu wa mbinguni, u Mungu mkubwa, unaogopesha, lakini wao wakupendao na kuyashika maagizo yako unawatimilizia Agano lako na upole wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nikasema, Nakusihi, Ee BWANA, Mungu wa mbinguni, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, mwenye kutimiza agano lake na rehema zake kwa hao wampendao na kuzishika amri zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nikisema: “Ee Yawe, Mungu wa mbinguni, wewe ni Mungu unayekuwa mukubwa na wa kutisha, unashika agano lako na kutenda mema kwa wale wanaokupenda na kushika amri zako.