Nehemiah 1:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumetenda mabaya mbele yako, hatujazishika amri zako, kanuni na maagizo yako uliyomwagiza mtumishi wako Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumetenda uovu sana mbele zako. Hatukutii amri, maagizo na sheria ulizompa Musa mtumishi wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tumetenda maovu mengi juu yako, wala hatukuzishika amri, wala sheria, wala hukumu, ulizomwamuru Musa, mtumishi wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumetenda mabaya mbele yako, hatujazishika amri zako, kanuni na maagizo yako uliyomwagiza mtumishi wako Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumetenda kwa uovu sana mbele zako. Hatukutii amri, maagizo wala sheria ulizompa Mose mtumishi wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumetenda uovu sana mbele zako. Hatukutii amri, maagizo na sheria ulizompa Musa mtumishi wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tumetenda maovu mengi juu yako, wala hatukuzishika amri, wala sheria, wala hukumu, ulizomwamuru Musa, mtumishi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumetenda mabaya mbele yako, hatujazishika amri zako, kanuni na maagizo yako uliyomwagiza mtumishi wako Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tumekufanyizia maovu mengi, hatukuyashika maagizo, wala maongozi, wala maamuzi yako, uliyomwagiza mtumishi wako Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tumetenda maovu mengi juu yako, wala hatukuzishika amri, wala sheria, wala hukumu, ulizomwamuru Musa, mtumishi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tumetenda mabaya mbele yako, hatujashika amri zako, masharti na maagizo yako uliyomwagiza mutumishi wako Musa.