Nehemiah 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbuka sasa lile ulilomwambia mtumishi wako Mose, uliposema, ‘Kama hamtakuwa waaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kumbuka agizo ulilompa Musa mtumishi wako, ukisema, ‘Mkikosa uaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakuomba, likumbuke neno lile ulilomwamuru Musa, mtumishi wako, ukisema, Mkikosa, nitawatawanya kati ya mataifa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbuka sasa lile ulilomwambia mtumishi wako Mose, uliposema, ‘Kama hamtakuwa waaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kumbuka agizo ulilompa Mose mtumishi wako, ukisema, ‘Kama mkikosa uaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kumbuka agizo ulilompa Musa mtumishi wako, ukisema, ‘Kama mkikosa uaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakuomba, likumbuke neno lile ulilomwamuru Musa, mtumishi wako, ukisema, Mkikosa, nitawatawanya kati ya mataifa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbuka sasa lile ulilomwambia mtumishi wako Mose, uliposema, ‘Kama hamtakuwa waaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Likumbuke lile neno, ulilomwagiza mtumishi wako Mose la kwamba: Mtakapoyavunja maagano, mimi nitawatapanya kwenye makabila yote;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakuomba, likumbuke neno lile ulilomwamuru Musa, mtumishi wako, ukisema, Mkikosa, nitawatawanya kati ya mataifa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumbuka sasa lile ulilomwambia mutumishi wako Musa, uliposema: ‘Kama hamutakuwa waaminifu, nitawatawanya kati ya mataifa.