Nehemiah 10:28 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisi sote watu wa Israeli, makuhani, Walawi, wangoja malango, waimbaji, watumishi wa hekalu na watu wote waliojitenga na mataifa jirani kufuata sheria ya Mungu pamoja na wake zao, wana wao na binti zao, wote wenye maarifa na fahamu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Watu wengine wote, wakiwa ni makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji, watumishi wa Hekalu, na wale wote waliojitenga na mataifa jirani kwa ajili ya Torati ya Mungu, pamoja na wake zao na wana wao wote wa kiume na wa kike waliokuwa na uwezo wa kufahamu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu waliosalia, makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji, Wanethini, na hao wote waliojitenga katika watu wa nchi kwa torati ya Mungu; wake zao, na wana wao, na binti zao, kila mwenye maarifa na akili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisi sote watu wa Israeli, makuhani, Walawi, wangoja malango, waimbaji, watumishi wa hekalu na watu wote waliojitenga na mataifa jirani kufuata sheria ya Mungu pamoja na wake zao, wana wao na binti zao, wote wenye maarifa na fahamu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Watu wengine wote, wakiwa ni makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji, Wanethini, na wale wote waliojitenga na mataifa jirani kwa ajili ya Sheria ya Mungu, pamoja na wake zao na wana wao na binti zao wote waliokuwa na uwezo wa kufahamu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Watu wengine wote, wakiwa ni makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji, watumishi wa Hekalu, na wale wote waliojitenga na mataifa jirani kwa ajili ya Torati ya Mungu, pamoja na wake zao na wana wao na binti zao wote waliokuwa na uwezo wa kufahamu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu waliosalia, makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji, Wanethini, na hao wote waliojitenga katika watu wa nchi kwa Torati ya Mungu; wake zao, na wana wao, na binti zao, kila mwenye maarifa na akili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisi sote watu wa Israeli, makuhani, Walawi, wangoja malango, waimbaji, watumishi wa hekalu na watu wote waliojitenga na mataifa jirani kufuata sheria ya Mungu pamoja na wake zao, wana wao na binti zao, wote wenye maarifa na fahamu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu wengine wote, watambikaji, Walawi, walinda malango, waimbaji, watumishi wa Nyumbani mwa Mungu, nao wote waliojitenga na watu wa makabila ya nchi hizi, wayashike Maonyo ya Mungu, wake zao na wana wao wa kiume na wa kike, wote pia waliojua kuitambua maana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)