Nehemiah 10:30 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binti zetu hatutawaoza kwa watu wa nchi hii na wala wana wetu hawataoa kwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tunaahidi kutowaoza binti zetu kwa watu wanaotuzunguka, wala kuwaoza wana wetu binti zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala tusiwaoze watu wa nchi binti zetu, wala kuwatwalia wana wetu binti zao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binti zetu hatutawaoza kwa watu wa nchi hii na wala wana wetu hawataoa kwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tunaahidi kutowaoza binti zetu kwa watu wanaotuzunguka, wala kuwaoza wana wetu binti zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tunaahidi kutowaoza binti zetu kwa watu wanaotuzunguka, wala kuwaoza wana wetu binti zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala tusiwaoze watu wa nchi binti zetu, wala kuwatwalia wana wetu binti zao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binti zetu hatutawaoza kwa watu wa nchi hii na wala wana wetu hawataoa kwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tusiwape watu wa makabila ya nchi hii wana wetu wa kike, wala wana wa kike wa kwao tusiwachukue, tuwape wana wetu wa kiume,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)