Nehemiah 10:31 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa watu hao wanaleta bidhaa au nafaka kuuza siku ya Sabato, sisi hatutanunua siku hiyo wala siku nyingine yoyote iliyo takatifu. Mwaka wa saba hatutailima ardhi na madeni yote tutayafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mataifa jirani wanapoleta bidhaa zao au nafaka kuuza siku ya Sabato, hatutazinunua kutoka kwao siku ya Sabato, wala siku nyingine yoyote takatifu. Kila mwaka wa saba, tutaacha kuilima ardhi na tutafuta madeni yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena watu wa nchi wakitembeza biashara, au chakula cho chote, siku ya sabato, tusinunue kwao siku ya sabato, au siku takatifu; tena kwamba tuuache mwaka wa saba, na madai ya kila deni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa watu hao wanaleta bidhaa au nafaka kuuza siku ya Sabato, sisi hatutanunua siku hiyo wala siku nyingine yoyote iliyo takatifu. Mwaka wa saba hatutailima ardhi na madeni yote tutayafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati mataifa jirani waletapo bidhaa zao au nafaka kuuza siku ya Sabato, hatutazinunua toka kwao siku ya Sabato wala siku nyingine yo yote takatifu. Kila mwaka wa saba tutaacha kuilima ardhi na tutafuta madeni yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati mataifa jirani waletapo bidhaa zao au nafaka kuuza siku ya Sabato, hatutazinunua kutoka kwao siku ya Sabato, wala siku nyingine yoyote takatifu. Kila mwaka wa saba, tutaacha kuilima ardhi na tutafuta madeni yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena watu wa nchi wakitembeza biashara, au chakula chochote, siku ya sabato, tusinunue kwao siku ya sabato, au siku takatifu; tena mwaka wa saba tusiliwe na madeni yote tuyafute.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa watu hao wanaleta bidhaa au nafaka kuuza siku ya Sabato, sisi hatutanunua siku hiyo wala siku nyingine yoyote iliyo takatifu. Mwaka wa saba hatutailima ardhi na madeni yote tutayafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala tusinunue cho chote kwao watu wa makabila ya nchi hii katika siku za mapumziko na katika siku takatifu, wakileta vyombo na vilaji kuviuza siku ya mapumziko. Tena kila mwaka wa saba tuache kulima, nayo madeni yo yote tuwaachilie watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena watu wa nchi wakitembeza biashara, au chakula cho chote, siku ya sabato, tusinunue kwao siku ya sabato, au siku takatifu; tena kwamba tuuache mwaka wa saba, na madai ya kila deni.