Nehemiah 10:32 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tunajiwekea sheria kwamba kwa mwaka tutatoa theluthi moja ya shekeli kwa ajili ya gharama za huduma ya nyumba ya Mungu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tunakubali wajibu wa kutimiza amri za kutoa theluthi ya shekeli kila mwaka kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena tukajifanyia maagizo, kujitoza mwaka kwa mwaka theluthi ya shekeli kwa huduma ya nyumba ya Mungu wetu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tunajiwekea sheria kwamba kwa mwaka tutatoa theluthi moja ya shekeli kwa ajili ya gharama za huduma ya nyumba ya Mungu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tunakubali wajibu wa kutimiza amri za kutoa theluthi ya shekeli kila mwaka kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tunakubali wajibu wa kutimiza amri za kutoa theluthi ya shekeli kila mwaka kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena tukajifanyia maagizo, kujitoza mwaka kwa mwaka theluthi ya shekeli kwa huduma ya nyumba ya Mungu wetu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tunajiwekea sheria kwamba kwa mwaka tutatoa theluthi moja ya shekeli kwa ajili ya gharama za huduma ya nyumba ya Mungu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena wakajisimamisha na kujiagiza wenyewe kutoa kila mtu kwa mwaka thumuni tatu za msaada wa kazi za Nyumba ya Mungu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)