Nehemiah 10:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maazia, Bilgai na Shemaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maazia, Bilgai na Shemaya. Hao walikuwa makuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maazia, Bilgai, Shemaya; hao ndio waliokuwa makuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maazia, Bilgai na Shemaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maazia, Bilgai na Shemaya. Hawa ndio waliokuwa makuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maazia, Bilgai na Shemaya. Hawa ndio waliokuwa makuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maazia, Bilgai, Shemaya; hao ndio waliokuwa makuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maazia, Bilgai na Shemaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mazia, Bilgai, Semaya; hawa ndio watambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maazia, Bilgai, Shemaya; hao ndio waliokuwa makuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa watu hao wanaleta biashara au ngano kwa kuuzisha siku ya Sabato, sisi hatutanunua siku hiyo wala siku nyingine yoyote inayokuwa takatifu. Mwaka wa saba hatutalima mashamba na madeni yote tutayafuta.