Nehemiah 10:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia majina ya Walawi: Yeshua, mwana wa Azania, Binui, wazawa wa Henadadi, Kadmieli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walawi: Yeshua mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Walawi; ndio, Yeshua, mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia majina ya Walawi: Yeshua, mwana wa Azania, Binui, wazawa wa Henadadi, Kadmieli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walawi: Yeshua mwana wa Azania, Binui wana wa Henadadi, Kadmieli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walawi: Yeshua mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Walawi; ndio, Yeshua, mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia majina ya Walawi: Yeshua, mwana wa Azania, Binui, wazawa wa Henadadi, Kadmieli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Walawi ndio: Yesua, mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadimieli;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Walawi; ndio, Yeshua, mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunajiwekea sheria juu yetu kwamba, kwa mwaka tutatoa sehemu moja ya tatu ya kikoroti kimoja cha feza kwa ajili ya kazi za nyumba ya Mungu: