Nehemiah 11:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makuhani waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Yedaya, mwana wa Yoaribu, Yakini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka makuhani: Yedaya; mwana wa Yoyaribu; Yakini;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa makuhani; Yedaya, Yoyaribu, Yakini,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makuhani waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Yedaya, mwana wa Yoaribu, Yakini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka makuhani: Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka makuhani: Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa makuhani; Yedaya, Yoyaribu, Yakini,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makuhani waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Yedaya, mwana wa Yoaribu, Yakini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watambikaji walikuwa: Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa makuhani; Yedaya, Yoyaribu, Yakini,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makuhani waliokaa katika Yerusalema walikuwa: Yedaya mwana wa Yoyaribu, Yakini,