Nehemiah 11:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hao pamoja na ndugu zao waliofanya kazi hekaluni; walikuwa watu 822. Pamoja na hao, kulikuwa na Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amsi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na wenzao waliofanya kazi hekaluni: wanaume mia nane ishirini na wawili (822). Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amzi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ndugu zao waliofanya kazi ya nyumbani, watu mia nane ishirini na wawili; na Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amzi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hao pamoja na ndugu zao waliofanya kazi hekaluni; walikuwa watu 822. Pamoja na hao, kulikuwa na Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amsi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na wenzao 822 waliofanya kazi hekaluni. Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amzi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na wenzao waliofanya kazi hekaluni: watu 822. Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amsi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ndugu zao waliofanya kazi ya nyumbani, watu mia nane ishirini na wawili; na Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amzi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hao pamoja na ndugu zao waliofanya kazi hekaluni; walikuwa watu 822. Pamoja na hao, kulikuwa na Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amsi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
pamoja na ndugu zao walioifanyia Nyumba ya Mungu kazi, walikuwa watu 822. Tena Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amusi, mwana wa Zakaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ndugu zao waliofanya kazi ya nyumbani, watu mia nane ishirini na wawili; na Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amzi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na wandugu zao waliofanya kazi katika hekalu walikuwa mia nane makumi mbili na wawili. Pamoja na hao, kulikuwa Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia mwana wa Amsi mwana wa Zakaria mwana wa Pasuri mwana wa Malkiya;