Nehemiah 11:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pia kulikuwa ndugu zake waliokuwa wakuu wa jamaa za baba zao; wote pamoja walikuwa watu 242. Pia walikuwako Amaasai, mwana wa Azareli, mwana wa Ahzai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wenzao, waliokuwa viongozi wa jamaa: wanaume mia mbili arobaini na wawili (242). Amashisai mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ndugu zake, wakuu wa mbari za mababa, watu mia mbili arobaini na wawili; na Maasai, mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pia kulikuwa ndugu zake waliokuwa wakuu wa jamaa za baba zao; wote pamoja walikuwa watu 242. Pia walikuwako Amaasai, mwana wa Azareli, mwana wa Ahzai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wenzao, waliokuwa viongozi wa jamaa walikuwa watu 242. Amashsai mwana wa Azareli, mwana wa Ahzai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wenzao, waliokuwa viongozi wa jamaa: watu 242. Amashisai mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ndugu zake, wakuu wa mbari za mababa, watu mia mbili arobaini na wawili; na Maasai, mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pia kulikuwa ndugu zake waliokuwa wakuu wa jamaa za baba zao; wote pamoja walikuwa watu 242. Pia walikuwako Amaasai, mwana wa Azareli, mwana wa Ahzai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
pamoja na ndugu zake walio wakuu wa milango walikuwa watu 242. Tena Amasai, mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Mesilemoti, mwana wa Imeri;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ndugu zake, wakuu wa mbari za mababa, watu mia mbili arobaini na wawili; na Maasai, mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
vilevile wandugu zake waliokuwa wakubwa wa jamaa za baba zao; wote pamoja walikuwa watu mia mbili makumi ine na wawili. Vilevile kulikuwa Amasayi, mwana wa Azareli mwana wa Azayi mwana wa Mesilemoti mwana wa Imeri,