Nehemiah 11:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na ndugu zao; wote wakiwa 128, watu mashujaa. Na mkuu wao alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wenzao waliokuwa wanaume wenye uwezo: mia moja ishirini na nane (128). Afisa wao mkuu alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ndugu zao, waume mashujaa, watu mia na ishirini na wanane; na msimamizi wao alikuwa Zabdieli, mmojawapo wa hao wakuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na ndugu zao; wote wakiwa 128, watu mashujaa. Na mkuu wao alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wenzao waliokuwa wenye uwezo walikuwa watu 128. Afisa wao mkuu alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wenzao waliokuwa wenye uwezo: watu 128. Afisa wao mkuu alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ndugu zao, wanaume mashujaa, watu mia moja na ishirini na wanane; na msimamizi wao alikuwa Zabdieli, mmojawapo wa hao wakuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na ndugu zao; wote wakiwa 128, watu mashujaa. Na mkuu wao alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
pamoja na ndugu zao waliokuwa wenye nguvu walikuwa watu 128; msimamizi wao alikuwa Zabudieli, mwana wa Hagedolimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ndugu zao, waume mashujaa, watu mia na ishirini na wanane; na msimamizi wao alikuwa Zabdieli, mmojawapo wa hao wakuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na wandugu zao; wote wakiwa mia moja makumi mbili na wanane, watu mashujaa. Na mukubwa wao alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu.