Nehemiah 11:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walawi wote waliokaa mjini Yerusalemu, mji mtakatifu, walikuwa 284.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jumla ya Walawi waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa wanaume mia mbili themanini na wanne (284).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walawi wote waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu mia mbili themanini na wanne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walawi wote waliokaa mjini Yerusalemu, mji mtakatifu, walikuwa 284.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jumla ya Walawi waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu 284.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jumla ya Walawi waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu 284.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walawi wote waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu mia mbili themanini na wanne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walawi wote waliokaa mjini Yerusalemu, mji mtakatifu, walikuwa 284.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walawi wote katika mji mtakatifu walikuwa watu 284.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walawi wote waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu mia mbili themanini na wanne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walawi wote waliokaa katika Yerusalema, muji mutakatifu, walikuwa mia mbili makumi munane na wane.