Nehemiah 11:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wangoja malango waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Akubu na Talmoni pamoja na ndugu zao waliokuwa wakilinda malango, walikuwa 172.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mabawabu: Akubu, Talmoni na wenzao, waliolinda malango: wanaume mia moja sabini na wawili (172).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na hao, mabawabu; Akubu, Talmoni, na ndugu zao waliolinda malangoni, walikuwa watu mia na sabini na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wangoja malango waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Akubu na Talmoni pamoja na ndugu zao waliokuwa wakilinda malango, walikuwa 172.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mabawabu: Akubu, Talmoni na wenzao, waliolinda malango, walikuwa watu 172.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mabawabu: Akubu, Talmoni na wenzao, waliolinda malango: watu 172.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na hao, mabawabu; Akubu, Talmoni, na ndugu zao waliolinda malangoni, walikuwa watu mia moja sabini na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wangoja malango waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Akubu na Talmoni pamoja na ndugu zao waliokuwa wakilinda malango, walikuwa 172.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walinda malango walikuwa: Akubu na Talmoni na ndugu zao; ndio walioyangoja malango, walikuwa watu 172.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na hao, mabawabu; Akubu, Talmoni, na ndugu zao waliolinda malangoni, walikuwa watu mia na sabini na wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinzi wa milango waliokaa katika Yerusalema walikuwa: Akubu na Talmoni pamoja na wandugu zao waliokuwa wakilinda milango, walikuwa mia moja makumi saba na wawili.