Nehemiah 11:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watumishi wa hekalu walikaa mjini Yerusalemu katika eneo la Ofeli wakiwa chini ya usimamizi wa Ziha na Gishpa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumishi wa Hekalu waliishi katika kilima cha Ofeli. Siha na Gishpa walikuwa wasimamizi wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Wanethini walikuwa wakikaa Ofeli; na juu ya Wanethini walikuwa Siha na Gishpa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watumishi wa hekalu walikaa mjini Yerusalemu katika eneo la Ofeli wakiwa chini ya usimamizi wa Ziha na Gishpa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanethini waliishi katika kilima cha Ofeli. Ziha na Gishpa walikuwa wasimamizi wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumishi wa Hekalu waliishi katika kilima cha Ofeli. Siha na Gishpa walikuwa wasimamizi wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Wanethini walikuwa wakikaa Ofeli; na juu ya Wanethini walikuwa Siha na Gishpa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watumishi wa hekalu walikaa mjini Yerusalemu katika eneo la Ofeli wakiwa chini ya usimamizi wa Ziha na Gishpa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watumishi wa Nyumbani mwa Mungu wakakaa Ofeli; Siha na Gisipa walikuwa wasimamizi wao watumishi wa Nyumbani mwa Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Wanethini walikuwa wakikaa Ofeli; na juu ya Wanethini walikuwa Siha na Gishpa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watumishi wa hekalu walikaa Yerusalema katika eneo la Ofeli wakiwa chini ya usimamizi wa Ziha na Gisipa.