Nehemiah 11:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme alikuwa ametoa amri kuhusu zamu zao na mahitaji yao ya kila siku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waimbaji walikuwa chini ya amri za mfalme, ambazo pia ziliratibu shughuli zao za kila siku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa palikuwa na amri ya mfalme juu yao, na agizo la hakika walilowekewa waimbaji, kama ilivyohusika na kila siku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme alikuwa ametoa amri kuhusu zamu zao na mahitaji yao ya kila siku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waimbaji walikuwa chini ya amri za mfalme ambazo pia ziliratibu shughuli zao za kila siku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waimbaji walikuwa chini ya amri za mfalme, ambazo pia ziliratibu shughuli zao za kila siku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa palikuwa na amri ya mfalme juu yao, na agizo la hakika walilowekewa waimbaji, kama ilivyohusika na kila siku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme alikuwa ametoa amri kuhusu zamu zao na mahitaji yao ya kila siku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mfalme aliagiza kazi zao na mshahara wao hao waimbaji, ndio waupate siku kwa siku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa palikuwa na amri ya mfalme juu yao, na agizo la hakika walilowekewa waimbaji, kama ilivyohusika na kila siku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme alikuwa ametoa amri juu ya utaratibu wa kazi zao na mahitaji yao ya kila siku.