Nehemiah 11:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengine walikaa katika mji wa Ziklagi, Mekona na vijiji vilivyoizunguka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika Siklagi, katika Mekona na makazi yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na katika Siklagi, na Mekona na vijiji vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengine walikaa katika mji wa Ziklagi, Mekona na vijiji vilivyoizunguka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika Ziklagi, katika Mekona na makazi yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika Siklagi, katika Mekona na makazi yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na katika Siklagi, na Mekona na vijiji vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengine walikaa katika mji wa Ziklagi, Mekona na vijiji vilivyoizunguka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siklagi na Mekona na katika vijiji vyake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na katika Siklagi, na Mekona na vijiji vyake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wengine walikaa katika muji wa Ziklagi, Mekona na vijiji vilivyoizunguka.