Nehemiah 11:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia Maaseya, mwana wa Baruku, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, Mshilo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Maaseya mwana wa Baruku, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, mzao wa Mshiloni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Maaseya, mwana wa Baruki, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, Mshelani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia Maaseya, mwana wa Baruku, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, Mshilo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Maaseya mwana wa Baruki, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, mzao wa Mshelani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Maaseya mwana wa Baruku, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, mzao wa Mshiloni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Maaseya, mwana wa Baruku, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, Mshelani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia Maaseya, mwana wa Baruku, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, Mshilo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na Masea, mwana wa Baruku, mwana wa Koli-Hoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zakaria, mwana wa Msiloni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Maaseya, mwana wa Baruki, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, Mshelani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maseya mwana wa Baruku mwana wa Koli-Hoze mwana wa Hazaya mwana wa Adaya mwana wa Yoyaribu mwana wa Zekaria, Mushilo.