Nehemiah 11:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazawa wote wa Peresi waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa wanaume mashujaa 468.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Peresi walioishi Yerusalemu walikuwa mia nne sitini na nane (468), wanaume wenye uwezo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Peresi wote waliokaa Yerusalemu walikuwa watu mia nne sitini na wanane, mashujaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazawa wote wa Peresi waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa wanaume mashujaa 468.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Peresi walioishi Yerusalemu walikuwa 468, watu wenye uwezo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Peresi walioishi Yerusalemu walikuwa 468, watu wenye uwezo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Peresi wote waliokaa Yerusalemu walikuwa watu mia nne sitini na wanane, mashujaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazawa wote wa Peresi waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa wanaume mashujaa 468.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wote wa Peresi waliokaa Yerusalemu walikuwa waume wenye nguvu 468.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Peresi wote waliokaa Yerusalemu walikuwa watu mia nne sitini na wanane, mashujaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazao wote wa Peresi waliokaa katika Yerusalema walikuwa wanaume mashujaa mia ine makumi sita na wanane.