Nehemiah 11:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya huyo walikuwako Gabai na Salai. Jumla yao 928.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wafuasi wake, Gabai na Salai: wanaume mia tisa ishirini na nane (928).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada yake Gabai, Salai,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya huyo walikuwako Gabai na Salai. Jumla yao 928.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baada yake Gabai, Salai, watu mia tisa ishirini na wanane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya huyo walikuwako Gabai na Salai. Jumla yao 928.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nyuma yake Gabai-Salai; ni watu 928.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada yake Gabai, Salai, watu mia kenda ishirini na wanane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya huyo kulikuwa Gabayi na Salayi. Jumla yao mia tisa makumi mbili na wanane.