Nehemiah 12:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeshua alimzaa Yoyakimu, Yoyakimu alimzaa Eliashibu, Eliashibu alimzaa Yoyada,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeshua alikuwa baba wa Yoyakimu, Yoyakimu alikuwa baba wa Eliashibu, Eliashibu alikuwa baba wa Yoyada,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yoshua akamzaa Yoyakimu, Yoyakimu akamzaa Eliashibu, Eliashibu akamzaa Yoyada,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeshua alimzaa Yoyakimu, Yoyakimu alimzaa Eliashibu, Eliashibu alimzaa Yoyada,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeshua alikuwa baba wa Yoiakimu, Yoiakimu alikuwa baba wa Eliyashibu, Eliyashibu alikuwa baba wa Yoyada,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeshua alikuwa baba wa Yoyakimu, Yoyakimu alikuwa baba wa Eliashibu, Eliashibu alikuwa baba wa Yoyada,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yoshua akamzaa Yoyakimu, Yoyakimu akamzaa Eliashibu, Eliashibu akamzaa Yoyada,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeshua alimzaa Yoyakimu, Yoyakimu alimzaa Eliashibu, Eliashibu alimzaa Yoyada,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesua akamzaa Yoyakimu, Yoyakimu akamzaa Eliasibu, Elaisibu akamzaa Yoyada,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yoshua akamzaa Yoyakimu, Yoyakimu akamzaa Eliashibu, Eliashibu akamzaa Yoyada,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesua alizaa Yoyakimu, Yoyakimu alizaa Eliasibu, Eliasibu alizaa Yoyada, Yoyada alizaa Yonatani, Yonatani alizaa Yadua.