Nehemiah 12:11 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoyada alimzaa Yonathani na Yonathani akamzaa Yadua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoyada akamzaa Yohana, Yohana akamzaa Yadua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoyada alimzaa Yonathani na Yonathani akamzaa Yadua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoyada akamzaa Yonathani, Yonthani akamzaa Yadua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoyada alimzaa Yonathani na Yonathani akamzaa Yadua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoyada akamzaa Yonatani, Yonatani akamzaa Yadua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoyada akamzaa Yohana, Yohana akamzaa Yadua.