Nehemiah 12:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakuu wa jamaa za ukoo wa Lawi waliorodheshwa katika kitabu cha Kumbukumbu mpaka wakati wa Yohanani mjukuu wa Eliashibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakuu wa jamaa miongoni mwa wazao wa Lawi hadi wakati wa Yohanani mwana wa Eliashibu waliandikishwa katika kitabu cha kumbukumbu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Lawi, wakuu wa mbari za mababa, wameandikwa katika kitabu cha tarehe, hata siku za Yohana mwana wa Eliashibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakuu wa jamaa za ukoo wa Lawi waliorodheshwa katika kitabu cha Kumbukumbu mpaka wakati wa Yohanani mjukuu wa Eliashibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakuu wa jamaa miongoni mwa wazao wa Lawi hadi wakati wa Yohanani mwana wa Eliyashibu waliandikishwa katika kitabu cha kumbukumbu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakuu wa jamaa miongoni mwa wazao wa Lawi hadi wakati wa Yohanani mwana wa Eliashibu waliandikishwa katika kitabu cha kumbukumbu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Lawi, wakuu wa mbari za mababa, wameandikwa katika kitabu cha kumbukumbu hadi siku za Yohana mwana wa Eliashibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakuu wa jamaa za ukoo wa Lawi waliorodheshwa katika kitabu cha Kumbukumbu mpaka wakati wa Yohanani mjukuu wa Eliashibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Lawi waliokuwa wakuu wa milango waliandikwa katika kitabu cha mambo ya siku za kale kufikisha siku za Yohana, mwana wa Eliasibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Lawi, wakuu wa mbari za mababa, wameandikwa katika kitabu cha tarehe, hata siku za Yohana mwana wa Eliashibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wa jamaa za ukoo wa Lawi walioandikwa katika kitabu cha Mambo ya Siku mpaka wakati wa Yohanani mujukuu wa Eliasibu.