Nehemiah 12:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mabawabu walikuwa: Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni na Akubu; pia hao walikuwa walinzi wa ghala.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mabawabu waliokuwa wakilinda kwenye malango ya ghala ni: Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni na Akubu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni, na Akubu, walikuwa mabawabu, wa kulinda nyumba za hazina penye malango.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mabawabu walikuwa: Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni na Akubu; pia hao walikuwa walinzi wa ghala.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mabawabu waliokuwa wakilinda kwenye malango ya ghala ni: Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni na Akubu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mabawabu waliokuwa wakilinda kwenye malango ya ghala ni: Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni na Akubu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni, na Akubu, walikuwa mabawabu, wa kulinda nyumba za hazina katika malango.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mabawabu walikuwa: Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni na Akubu; pia hao walikuwa walinzi wa ghala.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matania na Bakibukia, Obadia, Mesulamu, Talmoni na Akubu walikuwa walinda malango, wakavilinda vilimbiko vilivyomo vyumbani penye malango.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni, na Akubu, walikuwa mabawabu, wa kulinda nyumba za hazina penye malango.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinzi wa milango walikuwa: Matania, Bakubukia, Obadia, Mesulamu, Talmoni na Akubu; vilevile hao walikuwa walinzi wa gala.