Nehemiah 12:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu hao waliishi wakati wa Yoyakimu, mwana wa Yeshua mwana wa Yosadaki na pia wakati wa Nehemia aliyekuwa mtawala wa mkoa; na hata wakati wa Ezra kuhani na mwandishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walihudumu siku za Yoyakimu mwana wa Yeshua, mwana wa Yosadaki, na katika siku za mtawala Nehemia, na za Ezra kuhani na mwandishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao walikuwapo siku za Yoyakimu, mwana ya Yoshua, mwana wa Yosadaki, na siku za Nehemia, liwali, na Ezra, kuhani, mwandishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu hao waliishi wakati wa Yoyakimu, mwana wa Yeshua mwana wa Yosadaki na pia wakati wa Nehemia aliyekuwa mtawala wa mkoa; na hata wakati wa Ezra kuhani na mwandishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walihudumu siku za Yoakimu mwana wa Yeshua, mwana wa Yozadaki, na katika siku za mtawala Nehemia na za Ezra kuhani na mwandishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walihudumu siku za Yoyakimu mwana wa Yeshua, mwana wa Yosadaki, na katika siku za mtawala Nehemia, na za Ezra kuhani na mwandishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao walikuwapo siku za Yoyakimu, mwana ya Yoshua, mwana wa Yosadaki, na siku za Nehemia, mtawala, na Ezra, kuhani na mwandishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu hao waliishi wakati wa Yoyakimu, mwana wa Yeshua mwana wa Yosadaki na pia wakati wa Nehemia aliyekuwa mtawala wa mkoa; na hata wakati wa Ezra kuhani na mwandishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndio waliokuwako siku za Yoyakimu, mwana wa Yesua, mwana wa Yosadaki, na siku za mtawala nchi Nehemia na za Ezera aliyekuwa mtambikaji na mwandishi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao walikuwapo siku za Yoyakimu, mwana ya Yoshua, mwana wa Yosadaki, na siku za Nehemia, liwali, na Ezra, kuhani, mwandishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hao waliishi wakati wa Yoyakimu mwana wa Yesua mujukuu wa Yosadaki na vilevile wakati wa Nehemia aliyekuwa liwali wa jimbo; na hata wakati wa Ezra kuhani na mwandishi.