Nehemiah 12:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazawa wa waimbaji wakakusanyika kutoka viunga vya Yerusalemu na vijiji vya Wanetofathi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia waimbaji walikusanywa pamoja kutoka maeneo yaliyozunguka Yerusalemu, kutoka vijiji vya Wanetofathi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waimbaji wakakusanyika kutoka uwanda na viunga vya Yerusalemu, na kutoka vijiji vya Wanetofathi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazawa wa waimbaji wakakusanyika kutoka viunga vya Yerusalemu na vijiji vya Wanetofathi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia waimbaji walikusanywa pamoja kutoka maeneo yanayozunguka Yerusalemu, kutoka vijiji vya Wanetofathi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia waimbaji walikusanywa pamoja kutoka maeneo yaliyozunguka Yerusalemu, kutoka vijiji vya Wanetofathi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waimbaji wakakusanyika kutoka uwanda na viunga vya Yerusalemu, na kutoka vijiji vya Wanetofathi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazawa wa waimbaji wakakusanyika kutoka viunga vya Yerusalemu na vijiji vya Wanetofathi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakakusanyika wana wao walio waimbaji wakitoka katika nchi iliyouzunguka Yerusalemu na viwanjani kwa Netofa
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waimbaji wakakusanyika kutoka uwanda na viunga vya Yerusalemu, na kutoka vijiji vya Wanetofathi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazao wa waimbaji wakakusanyika kutoka vijiji vya Yerusalema na vijiji vya Wanetofati,